
Diamond Ft Davido May Namba Wani
Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha. MANENO YA CHANZO “Kikao cha familia kilikaa, Mbasha aliitwa akafika, Flora naye aliitwa akatokea, mazungumzo yalikuwa marefu lakini kimsingi waliamua kuweka kando mtafaruku wao na kuijenga upya ndoa yao,” kilisema chanzo. Chanzo kiliongeza kuwa katika kikao hicho cha mwanzoni mwa wiki hii, miongoni mwa adidu za rejea ilikuwa kutokumbushia vikao vilivyopita ambapo hakukupatikana muafaka. VIKAO VILIVYOPITA Katika vikao vilivyopita, wahusika wakuu walikuwa wazazi wa Mbasha (mzee Maneno Mbasha, Zulfa Maneno), ndugu wa Flora na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.
Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014 kesho Juni 29.
Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
Kupitia wimbo wa My Number One (Remix), aliomshirikisha staa kutoka pande za Nigeria, Davido, ndiyo uliompandisha chati za juu mpaka kufikia kujulikana kimataifa sambamba na kuingizwa katika tuzo mbalimbali za heshima. Wapo wanaofurahia mafanikio yake na wengine kuchukia na kuona kama anapendelewa. Katika makala haya yanachambua safari nzima za tuzo ambazo ameshashiriki na anazoendelea kushiriki kwa sasa; Awashangaza Watanzania Aliivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na mwanamuziki Abass Hamis Kinzasa ‘20%’, ya mwaka 2011 ambayo alijinyakulia tuzo tano kwa mpigo zilizotambulika kama Kilimanjaro Music Awards 2011. Katika tuzo za Kilimanjaro za mwaka 2014 zilizofanyika Mlimani City jijini Dar, Diamond aliondoka shujaa kwa kujizolea tuzo saba kwa mpigo na kuweka rekodi ya aina yake huku maswali mengi yakibaki midomoni mwa watu na hata wengine wakidhani amebebwa na hakustahili kupewa tuzo hizo zote.
Atemwa tuzo za MTV MAMA 2014 Mpaka Diamond anaelekea Afrika Kusini Juni 7 mwaka huu, alionekana kama msanii anayeongoza kwa kupigiwa kura nyingi na mashabiki akiwa na asilimia zaidi ya 60. Watanzania wengi walijua ataibuka kidedea. Wakati wa ufunguzi wa tuzo hizo alianza kwa kufanya shoo ya nguvu akiwa sambamba na mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido. Walilivaa jukwaa na wimbo wa My Number One Remix. Staa wa Brazil, Neymar. Makala RIO DE JANEIRO, Brazil KIULIZA washambuliaji ambao wapo ‘on fire’ kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil, haraka jina la Neymar litatajwa na wengi, staa huyo wa Brazil ameshafunga mabao manne mpaka sasa katika michuano hiyo.
Kasi yake inamaanisha kuwa anaweza kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo na kubeba kiatu cha dhahabu ambacho kinawaniwa na mastraika wengine wenye majina makubwa duniani. Wachambuzi wa soka wanaamini kijana huyo ‘sharobaro’ anao uwezo wa kutwaa tuzo hiyo na sababu kubwa tatu zinatajwa, ikiwa ni saa chache kabla ya kuliwakilisha taifa lake katika hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo dhidi ya Chile. MIMI ni mkristo wa dhehebu la Roma. Mafundisho mengi tunayopewa kuanzia Ubatizo, Komunyo ya Kwanza na Kipaimara, tunafundishwa kuhusu kutenda mema, kupendana wenyewe kwa wenyewe na hata kuwapenda maadui zetu. Tunaambiwa, akija mtu akakupiga kofi shavu lako la kushoto, wala hata usimrudishie, bali mgeuzie na upande ule wa kulia na akishakutundika hivyo vibao vyake, muombe Mwenyezi Mungu amsamehe. Tunafundishwa kusamehe, ndiyo maana katika moja ya maandiko yaliyo katika vitabu vya dini, kama Injili na Biblia, kuna mistari inayosema samehe saba mara sabini.
Get News, Music, Video and Software. Streaming film 13 ghost subtitle indonesia. AFYA; Downloads; HABARI & UDAKU; Interview; LOVE & STORY.